Afisa Uchunguzi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bw. Gideon Mwafiri (mwenye koti jeusi) akifafanua jambo kwenye kipindi cha Elimu ya Maadili kupitia studio za Nuru FM ya mjini Iringa hivi karibuni. Mbele yake ni mtangazaji wa kipindi hicho Bw. Denis Nyari

Picha ya pamoja kati ya Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela (wa tatu kutoka kulia), maafisa wa Sekretarieti ya Maasili na watangazaji wa Nuru FM ya Iringa mara baada ya uzinduzi wa urushaji wa vipindi vya elimu ya Maadili katika studio za Nuru FM Julai 27,2018.

Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela akizindua urushaji wa vipindi vya elimu ya maadili kwa umma kupitia redio Nuru FM ya Iringa. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 27 Julai, 2018 katika studio za Nuru FM mjini Iringa.

Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela (Mwenye miwani) akichukua kumbukumbu ya picha ya fuvu la kichwa cha Mtemi Mkwawa katika Makumbusho ya Mkwawa yaliyoko Kalenga, Iringa hivi karibuni. Kushoto kwake ni Afisa Raslimali Watu wa Sekretarieti ya Maadili Bw. Suleiman Madega.

Maafisa wa Sekretarieti ya Maadii ya Viongozi wa Umma Kanda ya Mashariki Bw. Paul Kanoni na Bi. Getrude Cyliacus wakirusha vipindi vya elimu ya maadili kupitia redio Planet ya Morogoro Julai 25,2018. Kulia ni mtangazaji wa kipindi Bw. Ramadhani Chigalu

Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela akizindua urushaji wa vipindi vya elimu ya maadili kwa umma kupitia redio Planet ya mjini Morogoro kushoto kwake ni Katibu Msaidizi Kanda ya Pwani Bi Getrude Cyliacus. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 25 Julai, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold R. Nsekela mara baada ya kuwasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma katika ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam tarehe 28 Desemba, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilisha fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mst) Harold R. Nsekela katika ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam tarehe 28 Desemba, 2017.

Karibu


The Ethics Secretariat is an Independent Department of the Government under the President’s Office which is established under Article 132 of the 1977 Constitution of the United Republic of Tanzania. Its main function is to implement the Public Leadership Code of Ethics Act, No. 13 of 1995 (Chapter 398), specifically to monitor the ethical behavior and conduct of Public Leaders.

This website is a gateway to the useful information on promotio... Soma zaidi

 • news title here
  30
  Jul
  2018

  Kamishna wa maadili azindua Awamu ya Pili ya urushaji vipindi vya Elimu ya Maadili

  Kamishna wa Maadili amezindua vipindi vya Elimu ya Maadili katika Mikoa ya Morogoro na Iringa.. Soma zaidi

 • news title here
  19
  Jul
  2018

  Sekretarieti ya Maadili yajipanga kutumia TEHAMA kutoa huduma zake.

  Sekretarieti ya Maadili yajipanga kutumia TEHAMA kutoa huduma zake... Soma zaidi

 • news title here
  16
  Jul
  2018

  Mhe. Nsekela: Uadilifu ni Sharti ujengwe ndani ya Jamii.

  Uadilifu ni sharti ujengwe ndani ya jamii ili uwe sehemu ya utamaduni wa nchi. .. Soma zaidi

Habari Zaidi
  • 27
   Jul
   2017

   Integrity Day

   Mahali: At Mnazi Mmoja Stadium

   Soma zaidi
  • 29
   Jul
   2017

   maadili sport day

   Mahali: Gymkhana Ground

   Soma zaidi
  • 25
   Jul
   2017

   Workshop for Editors from the Mass Media

   Mahali: Serena Hotel

   Soma zaidi
  • 24
   Jul
   2017

   Mafuriko Day

   Mahali: Sukari House

   Soma zaidi
  Matukio Zaidi