Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Mst) Harold Nsekela (kulia) akiwaapisha Kiapo cha Ahadi ya Uadilifu Maafisa kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili jijini Dar es salaam. Kutoka kulia kwa Kamishna ni Bw. Lauden Mugoo na Bw. Greyson Mutazamba

Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Harold Nsekela akiwaapisha Makamishna wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Agosti 7, 2017 jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia kwa Mhe. Nsekela ni Kamishna Billy Mwakatage na anayefuata ni Kamishna ni Jesuald Ikonko.

Kamishna wa Maadili Jaji Harold Nsekela (kulia) akipeana mkono na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Salvatory Mabeyo (kushoto) mara baada ya zoezi la Kiapo cha Uadilifu lililofanyika Katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya Mawaziri iliyoandaliwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Wakuu wapya wa mikoa wala kiapo cha ahadi ya uadilifu

Karibu


The Ethics Secretariat is an Independent Department of the Government under the President’s Office which is established under Article 132 of the 1977 Constitution of the United Republic of Tanzania. Its main function is to implement the Public Leadership Code of Ethics Act, No. 13 of 1995 (Chapter 398), specifically to monitor the ethical behavior and conduct of Public Leaders.

This website is a gateway to the useful information on promotio... Soma zaidi

 • news title here
  21
  Aug
  2017

  Kamishna Nsekela awahimiza viongozi kujaza Fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa usahi...

  Kamishna wa Maadili Jaji (Mst.) Harlod Nsekela amewataka viongozi wa umma kutoa taarifa za usahihi wakati wanapojaza fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni.. Soma zaidi

 • news title here
  26
  Jul
  2017

  Waziri Kairuki asisitiza Umuhimu wa Matumizi ya Teknolojia

  Mipango yote ya kuimarisha ufuatiliaji wa vitendo vya ukiukwaji wa maadili ya uongozi miongoni mwa viongozi wa umma ni nyeti na inahitaji kubadilika .. Soma zaidi

 • news title here
  26
  Jul
  2017

  Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya pata ugeni kutoka Botswana.

  Mkurugenzi Mkuu wa Kurugenzi ya Rushwa na Makosa ya Kiuchumi wa Botswana (Directorate on Corruption and Economic Crime) Bi Rose Seretse na ujumbe wake hivi karibuni wamefanya ziara ya siku moja nchini kujifunza jinsi Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma inavyofanya kazi. .. Soma zaidi

Habari Zaidi
  • 27
   Jul
   2017

   Integrity Day

   Mahali: At Mnazi Mmoja Stadium

   Soma zaidi
  • 29
   Jul
   2017

   maadili sport day

   Mahali: Gymkhana Ground

   Soma zaidi
  • 25
   Jul
   2017

   Workshop for Editors from the Mass Media

   Mahali: Serena Hotel

   Soma zaidi
  • 24
   Jul
   2017

   Mafuriko Day

   Mahali: Sukari House

   Soma zaidi
  Matukio Zaidi