Habari


 • Rais Magufuli aongoza Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili na Wakazi wa Dodoma kuaga mwili wa Jaji Harold Nsekela.
  11
  Dec
  2020

  Rais Magufuli aongoza Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili na Wakazi wa Dodoma kuaga mwili wa Jaji Harold Nsekela.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli aliongoza zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Maadili ya Viongozi wa Umma Marehemu Mhe. Jaji (Mst.) Harold Nsekela lililofanyika katika uwanja wa Chinangali Jijini Dodoma.... Soma zaidi

 • Sekretarieti ya Maadili yajidhatiti kukabiliana na tatizo la Mgongano wa Maslahi miongoni mwa viongozi wa Umma.
  01
  Sep
  2020

  Sekretarieti ya Maadili yajidhatiti kukabiliana na tatizo la Mgongano wa Maslahi miongoni mwa viongozi wa Umma.

  Sekretarieti ya Maadili yajidhatiti kukabiliana na tatizo la Mgongano wa Maslahi miongoni mwa viongozi wa Umma.... Soma zaidi

 • Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili wafanya ziara Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
  21
  Aug
  2020

  Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili wafanya ziara Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)

  Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili wafanya ziara Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ... Soma zaidi

 • Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili wajengewa uwezo katika Mawasiliano na Stadi za Uwasiliashaji wa Mada.
  18
  Aug
  2020

  Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili wajengewa uwezo katika Mawasiliano na Stadi za Uwasiliashaji wa Mada.

  Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili wajengewa uwezo katika Mawasiliano na Stadi za Uwasiliashaji wa Mada.... Soma zaidi