Habari


 • Jaji Nsekela: Kiongozi wa Umma kuwa tajiri sio dhambi
  26
  Feb
  2020

  Jaji Nsekela: Kiongozi wa Umma kuwa tajiri sio dhambi

  Mhe. Jaji (Mst.) Harold Nsekela, Kamishna wa Maasili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977 haimkatazi mtu yeyote kuwa tajiri kama ameupata utajiri huo kwa mujibu wa Sheria.... Soma zaidi

 • Kipacha: Uadilifu kuwa sehemu ya Utamaduni wa Jamii ya Tanzania ifikapo 2025.
  20
  Feb
  2020

  Kipacha: Uadilifu kuwa sehemu ya Utamaduni wa Jamii ya Tanzania ifikapo 2025.

  Kipacha: Uadilifu kuwa sehemu ya Utamaduni wa Jamii ya Tanzania ifikapo 2025.... Soma zaidi

 • Sekretarieti ya Maadili yazindua Vipindi vya Elimu kwa Umma kuhusu Mgongano wa Maslahi jijini Arusha
  13
  Feb
  2020

  Sekretarieti ya Maadili yazindua Vipindi vya Elimu kwa Umma kuhusu Mgongano wa Maslahi jijini Arusha

  Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imezindua vipindi vya elimu kwa umma kuhusu Mgongano wa Maslahi kupitia kituo cha redio cha Sunrise cha jijini Arusha... Soma zaidi

 • Mhe. Nsekela: Tuna meno ya kusimamia Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
  09
  Jan
  2020

  Mhe. Nsekela: Tuna meno ya kusimamia Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

  Kamishna wa Maadili Mhe. Harold Nsekela amewaambia Waandishi wa Habari kuwa Sekretarieti ya Maadili ina meno katika kusimamia Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini.... Soma zaidi