Habari


 • Rais John Pombe Magufuli arejesha tamko la rasilimali na madeni kwa Kamishna wa Maadili.
  30
  Dec
  2019

  Rais John Pombe Magufuli arejesha tamko la rasilimali na madeni kwa Kamishna wa Maadili.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewasilisha tamko linalohusu Mapato, Rasilimali na Madeni ya viongozi katika Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya kikatiba na kisheria.... Soma zaidi

 • Mhe Nsekela: Hakuna muda wa nyongeza kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni ya Viongozi wa Umma baada ya Desemba 31.
  30
  Dec
  2019

  Mhe Nsekela: Hakuna muda wa nyongeza kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni ya Viongozi wa Umma baada ya Desemba 31.

  Viongozi wa Umma wanaowajibika na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma wameelezwa kuwa hakutokuwa na muda wa nyongeza kuwasilisha Tamko la Rasilimali na Madeni ya Viongozi wa Umma baada ya Desemba, 31 mwaka huu.... Soma zaidi

 • Mkuchika awapongeza Watumishi wa Umma.
  12
  Dec
  2019

  Mkuchika awapongeza Watumishi wa Umma.

  Mkuchika awapongeza Watumishi wa Umma.... Soma zaidi

 • Viongozi wa Mkoa wa Geita na Simiyu watakiwa kutanguliza maslahi ya Umma mbele kuliko maslahi yao binafsi.
  12
  Dec
  2019

  Viongozi wa Mkoa wa Geita na Simiyu watakiwa kutanguliza maslahi ya Umma mbele kuliko maslahi yao binafsi.

  Viongozi wa Mkoa wa Geita na Simiyu watakiwa kutanguliza maslahi ya Umma mbele kuliko maslahi yao binafsi.... Soma zaidi