Habari


 • Daftari la Vihatarishi la Sekretarieti ya Maadili kuhuishwa.
  12
  Oct
  2021

  Daftari la Vihatarishi la Sekretarieti ya Maadili kuhuishwa.

  Daftari la Vihatarishi la Sekretarieti ya Maadili kuhuishwa.... Soma zaidi

 • Kamishna wa Maadili awapika Viongozi wa Mkoa na Taasisi za Serikali Mkoani Mbeya kuhusu Maadili ya Viongozi wa Umma.
  23
  Sep
  2021

  Kamishna wa Maadili awapika Viongozi wa Mkoa na Taasisi za Serikali Mkoani Mbeya kuhusu Maadili ya Viongozi wa Umma.

  Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Sivangilwa Mwangesi amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani Mbeya kwa kukutana na kuwasilisha mada kuhusu Maadili kwa viongozi wote wa Mkoa pamoja na Taasisi za serikali zilizopo mkoani humo.... Soma zaidi

 • Mwangesi: Maadili yanapaswa kuanza na sisi wenyewe.
  22
  Sep
  2021

  Mwangesi: Maadili yanapaswa kuanza na sisi wenyewe.

  Watumishi wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini – Mbeya wametakiwa kuzingatia maadili wao wenyewe kabla ya kuwahimiza wengine kufanya hivyo.... Soma zaidi

 • Watumishi wa Maadili waaswa kuwa waadilifu.
  14
  Sep
  2021

  Watumishi wa Maadili waaswa kuwa waadilifu.

  Watumishi wa Maadili waaswa kuwa waadilifu.... Soma zaidi